Pages

Tupo Old Bagamoyo Road, opposite Shoppers Plaza, jengo moja na West Bureau de Change.

Mawasiliano: 0715 43 77 22 / 0754 43 77 22.

Monday, November 5, 2012

New arrivals!



New Arrivals...

Skirt hii inaweza valiwa na top tofauti kulingana na size yako Kama ifuatavyo. .






FROM OUR ALBUM. .


Hapa tutawaletea baadhi ya nguo zetu ambazo tushaleta huko Nyuma wateja wetu mpaka Leo wakivaa inaonekana ya Leo. . Itakusaidia kujua test zetu zikoje, tuna Muda mrefu katika hii kazi na wateja wanakili kupata vitu quality na unique ni uamuzi wako tu kuipumzisha lakini Siku ukiitoa kuvaa thamani yake iko pale pale! Hii inatokana na choice nzuri ya nguo ambazo na kuguarantee utaifurahia.








               









Saturday, October 13, 2012

A WELCOME NOTE!!!!

Karibu sana kwenye blog hii inayoongelea maduka yetu yaliyopo:

  1. Mikocheni Old Bagamoyo Road opposite Shoppers Plaza
  2. Arusha, stand ndogo kwenye jengo lenye choo cha kulipia.
  3. Kariakoo Mchikichi Road, opposite na zinapopaki tax.
Kwa ajili ya mahitaji yako ya nguo za ofisini, casual, za jioni, viatu, handbags, uniform/sare.Tunaamini kupendeza kunategemea sana choice. Choice inaanza na mimi ninayekuletea nguo. Tumezingatia hilo na kila kilichoko dukani ni kizuri kitakukaa vizuri kulingana na thamani ya pesa yako. Bei zetu ni nafuu kulingana na ubora wa mali zetu. Kupitia blog hii tutajitahidi kukuonyesha baadhi ya mali mpya zitakazokuwa zimewasili kwenye maduka yetu.