Karibu sana kwenye blog hii inayoongelea maduka yetu yaliyopo:
Mikocheni Old Bagamoyo Road opposite Shoppers Plaza
Arusha, stand ndogo kwenye jengo lenye choo cha kulipia.
Kariakoo Mchikichi Road, opposite na zinapopaki tax.
Kwa ajili ya mahitaji yako ya nguo za ofisini, casual, za jioni, viatu, handbags, uniform/sare.Tunaamini kupendeza kunategemea sana choice. Choice inaanza na mimi ninayekuletea nguo. Tumezingatia hilo na kila kilichoko dukani ni kizuri kitakukaa vizuri kulingana na thamani ya pesa yako. Bei zetu ni nafuu kulingana na ubora wa mali zetu. Kupitia blog hii tutajitahidi kukuonyesha baadhi ya mali mpya zitakazokuwa zimewasili kwenye maduka yetu.